Letra de Kenya National Anthem


Letras de National Anthems

Letra de Kenya National Anthem
Kenya

Kiswahili Words

Ee Mungu nguvu yetu

Ilete baraka kwetu

Haki iwe ngao na mlinzi

Natukae na udugu

Amani na uhuru

Raha tupate na ustawi.


Amkeni ndugu zetu

Tufanye sote bidii

Nasi tujitoe kwa nguvu

Nchi yetu ya

Kenya tunayoipenda

Tuwe tayari kuilinda.


Natujenge taifa letu

Ee ndio wajibu wetu

Kenya istahili heshima

Tuungane mikono pamoja kazini

Kila siku tuwe nashukrani.



English Words

O God of all creation,

Bless this our land and nation.

Justice be our shield and defender,

May we dwell in unity,

Peace and liberty.

Plenty be found within our borders.


Let one and all arise

With hearts both strong and true.

Service be our earnest endeavour,

And our Homeland of Kenya,

Heritage of splendour,

Firm may we stand to defend.


Let all with one accord

In common bond united,

Build this our nation together,

And the glory of Kenya,

The fruit of our labour

Fill every heart with thanksgiving.


Soundtracks / Top Hits / One Hit Wonders / TV Themes / Miscellaneous