Back to Top

Pailot - Usiondoke Lyrics



Pailot - Usiondoke Lyrics




Naomba wee unipende
Nikupende mpenzi wangu
Tena usinitende ili ubaki moyoni mwanguuu
Penzi starehe sio vita kugaraishanaa
Kutwa kelele yani pilika kuangaishanaaa
Vile wee unanijua nikishapendaa naganda kidedee
Moyo wangu chukua mi kwako kitetee
Usije kwenda mbali mi mwenzako ntaliaa... Aaaah
Sina hali hali haliii kwako mnyongee
Usije nimwaga chaliiiiiii... Aaaaa
Sina hali hali haliii kwako mnyongee

Ukiondokaaa ntaumia moyoni mwanguu
Usiondokee tupeane mapendo mamaaaa
Usiondokeee usisikie ya watu my booo
Usiondokeee tupeane mapendo mamaaa..
Usiondokeeee

Mamacita, magarita, sinyoraaa, senorita mi nakuita sogeaaa
Shepu hata ngozi yako mwororooo,
Penzi lisije vunda likawa kiporoo
Natamani leo kama sio tomorrow
Nikupeleke nyumbani kwa wapogoroo oooh

Vile we unanijua nikashapendaaaa naganda kidedee
Moyo wangu chukua mi kwako kitetee
Usijekwenda mbali mi mwenzako ntaliaa
Sina hali hali haliii kwako mnyongee..
Usije nimwaga chaliiiiii... aaaah
Sina hali hali haliii kwako mnyongee
Mi nasema ntaumia moyoni mwangu...eeeh
Usiondokee tupeane mapendo mamaa
Usiondokee usisiskie ya watu mamaa
Usiondokeee tupeane mapendo mamaa.
Usiondokee
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.




Naomba wee unipende
Nikupende mpenzi wangu
Tena usinitende ili ubaki moyoni mwanguuu
Penzi starehe sio vita kugaraishanaa
Kutwa kelele yani pilika kuangaishanaaa
Vile wee unanijua nikishapendaa naganda kidedee
Moyo wangu chukua mi kwako kitetee
Usije kwenda mbali mi mwenzako ntaliaa... Aaaah
Sina hali hali haliii kwako mnyongee
Usije nimwaga chaliiiiiii... Aaaaa
Sina hali hali haliii kwako mnyongee

Ukiondokaaa ntaumia moyoni mwanguu
Usiondokee tupeane mapendo mamaaaa
Usiondokeee usisikie ya watu my booo
Usiondokeee tupeane mapendo mamaaa..
Usiondokeeee

Mamacita, magarita, sinyoraaa, senorita mi nakuita sogeaaa
Shepu hata ngozi yako mwororooo,
Penzi lisije vunda likawa kiporoo
Natamani leo kama sio tomorrow
Nikupeleke nyumbani kwa wapogoroo oooh

Vile we unanijua nikashapendaaaa naganda kidedee
Moyo wangu chukua mi kwako kitetee
Usijekwenda mbali mi mwenzako ntaliaa
Sina hali hali haliii kwako mnyongee..
Usije nimwaga chaliiiiii... aaaah
Sina hali hali haliii kwako mnyongee
Mi nasema ntaumia moyoni mwangu...eeeh
Usiondokee tupeane mapendo mamaa
Usiondokee usisiskie ya watu mamaa
Usiondokeee tupeane mapendo mamaa.
Usiondokee
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Kevin Githuku
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Pailot



Pailot - Usiondoke Video
(Show video at the top of the page)


Performed By: Pailot
Language: English
Length: 3:06
Written by: Kevin Githuku

Tags:
No tags yet