Back to Top

VUVU - TOKA Lyrics



VUVU - TOKA Lyrics




Shukran Wildcard ju ya hii beat manze
Nataka hii ngoma ilie manze

Kila mtu anadai kusema kitu
Lakini hakuna mtu anaonyesha kitu amedo
Kila mtu ako afraid kudo
Kila mtu anataka kupeana advice
Lakini hakuna mtu amefanya kitu manze

Toka
Usikam kunishow unaniboo ah we ondoka
Unajam nini unajicross alafu unabonda
Ungefeel aje mabeshte wakikutoka
Hii ni time yangu nd'o na live we cheki
Toka
Usikam kunishow unaniboo ah we ondoka
Unajam nini unajicross alafu unabonda
Ungefeel aje mabeshte wakikutoka
Hii ni time yangu nd'o na live we cheki
Toka

Kila day niko set, niko fresh, niko yes, niko on
Kimindset
Everyday ninarest sikosangi kuwa sane
Mindset
Nimechange sijachange ah
Nimechange
Ju najipanga na my pace
Sina shida me sina shida ni we una shida
Ju sikutafuti
Sina dem ule dem alizied
Dem alizied
Ju najijali
Me ni chizi kwani nikidai, me nadai, me hudai
Kukula mali
Ah
Nina ka eleven kwa kichwa
Ye pia ako mbich**
Nashangaa mbona anakasirika
Ati sina maisha ju me naimba

Life is for living
Take that

Toka
Usikam kunishow unaniboo ah we ondoka
Unajam nini unajicross alafu unabonda
Ungefeel aje mabeshte wakikutoka
Hii ni time yangu nd'o na live we cheki
Toka
Usikam kunishow unaniboo ah we ondoka
Unajam nini unajicross alafu unabonda
Ungefeel aje mabeshte wakikutoka
Hii ni time yangu nd'o na live we cheki
Toka
[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.




Shukran Wildcard ju ya hii beat manze
Nataka hii ngoma ilie manze

Kila mtu anadai kusema kitu
Lakini hakuna mtu anaonyesha kitu amedo
Kila mtu ako afraid kudo
Kila mtu anataka kupeana advice
Lakini hakuna mtu amefanya kitu manze

Toka
Usikam kunishow unaniboo ah we ondoka
Unajam nini unajicross alafu unabonda
Ungefeel aje mabeshte wakikutoka
Hii ni time yangu nd'o na live we cheki
Toka
Usikam kunishow unaniboo ah we ondoka
Unajam nini unajicross alafu unabonda
Ungefeel aje mabeshte wakikutoka
Hii ni time yangu nd'o na live we cheki
Toka

Kila day niko set, niko fresh, niko yes, niko on
Kimindset
Everyday ninarest sikosangi kuwa sane
Mindset
Nimechange sijachange ah
Nimechange
Ju najipanga na my pace
Sina shida me sina shida ni we una shida
Ju sikutafuti
Sina dem ule dem alizied
Dem alizied
Ju najijali
Me ni chizi kwani nikidai, me nadai, me hudai
Kukula mali
Ah
Nina ka eleven kwa kichwa
Ye pia ako mbich**
Nashangaa mbona anakasirika
Ati sina maisha ju me naimba

Life is for living
Take that

Toka
Usikam kunishow unaniboo ah we ondoka
Unajam nini unajicross alafu unabonda
Ungefeel aje mabeshte wakikutoka
Hii ni time yangu nd'o na live we cheki
Toka
Usikam kunishow unaniboo ah we ondoka
Unajam nini unajicross alafu unabonda
Ungefeel aje mabeshte wakikutoka
Hii ni time yangu nd'o na live we cheki
Toka
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Vinstine Philip
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: VUVU



VUVU - TOKA Video
(Show video at the top of the page)


Performed By: VUVU
Language: English
Length: 2:17
Written by: Vinstine Philip

Tags:
No tags yet