Sumu ya penzi alinionjesha
Penzi kusikia niliogopa
Dakitari Wewe umeniponesha
Sikio lakufa limepata dawa
Moyo wangu aliwacha kidonda
Kisha Kila mara kunitonesha
Moyo wangu babe mimi nakupa
Wewe pekeyako ndie kipoza roho
Kama penzi bia
Basi nime overdose
Mwali guu la bia
Na mwendo wa mapoz
Nikikwangalia
Tayari umepoz
Endapo ukilia
Mimi nitafuta machoz
Baby boo
Bilakukuona roho yangu Juu
Bebe nakumindi huna maringo (maringo)
Oohhh iehh
Baby boo
Bony and Clyde ndie me and you
Bebe nakumindi never let you go (let you go)
Ohhhh iehh
Baby boo
Nime overdose
I want some more
Nime overdose
Nipe tena
Nime overdose
Bae baby
Nime overdose
I want some more
Nime overdose
Give me love
Nime overdose
I want some more
Nime overdose
Nipe tena
Nimelewa sasa Niko chakari
Ulichonionjesha yani hatari
Kweli Wewe fundi yani daktari
Umenikoleza chumvi kitandani
Fuata fuata nyuki utajionea Maana
Chovya chovya huwezi Mara moja mama
Amejaza mzinga
Ananimaliza
Yani Kama nzi basi nafa kidondani
Baby you got mee (I swear)
You're so amazing (I swear)
You hypnotise mee (I swear)
You drive me crazy (Iswear)
Baby boo
Bilakukuona roho yangu Juu
Bebe nakumindi huna maringo (maringo)
Oohhh iehh
Baby boo
Bony and Clyde ndie me and you
Bebe nakumindi siwezi let you go (let you go)
Ohhhh iehh
Baby boo
Nime overdose
I want some more
Nime overdose
Nipe tena
Nime overdose
Bae baby
Nime overdose
I want some more
Nime overdose
Give me love
Nime overdose
I want some more
Nime overdose
Nipe tena
Nime overdose
Nime overdose
Nime overdose
Nime overdose