Back to Top

Over You Video (MV)




Performed By: Agolla
Language: English
Length: 4:00
Written by: Jerry Ogallo, Catherine Agolla
[Correct Info]



Agolla - Over You Lyrics




Nilidhani ni makosa nilipokuwacha
Kumbe Mola mwenyezi mipango zake tofauti
Though you played me boy you'll never change me
Stronger, better so you'll never break me
Wakasema, huyu kijana nia zake
Wakasema sio nzuri tusikize

Wakati huo wote ulikuwa wamtaka yeye
Hukutaka mwengine
Wakati huo wote wanidanganya wanipenda
Wanibeba ufala
Wakati huo wote kumbe wasaliti wawili
Wafanana wafaana
Wakati huo wote ulikuwa wamtaka yeye
Hukutaka mwengine

Over you
Ni vyema ulienda ingawa ulinitenda
Yes I'm over you
I'm over you
Now I'm over you
Ni vyema ulienda ingawa ulinitenda
Yes I'm over you
I'm over you

Nyuma sitarudi, wivu sina mimi
Ka ulidhani wimbo huu ni wako
Basi hunijui mimi
Eti rafiki kumbe hasidi
Nikakuita baby, kumbe ni fisi

Wakati huo wote ulikuwa wamtaka yeye
Hukutaka mwengine
Wakati huo wote wanidanganya wanipenda
Wanibeba ufala
Wakati huo wote kumbe wasaliti wawili
Wafanana wafaana
Wakati huo wote ulikuwa wamtaka yeye
Hukutaka mwengine

Over you
Ni vyema ulienda ingawa ulinitenda
Yes I'm over you
I'm over you
Now I'm over you
Ni vyema ulienda ingawa ulinitenda
Yes I'm over you
I'm over you

Mapenzi yalinifunga macho masikio
Hakuna aliyenishow
Machozi yalinitoka uchungu ulinipa baby
But it's alright..

Over you
Ni vyema ulienda ingawa ulinitenda
Yes I'm over you
I'm over you
Now I'm over you
Ni vyema ulienda ingawa ulinitenda
Yes I'm over you
I'm over you
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


English

Nilidhani ni makosa nilipokuwacha
Kumbe Mola mwenyezi mipango zake tofauti
Though you played me boy you'll never change me
Stronger, better so you'll never break me
Wakasema, huyu kijana nia zake
Wakasema sio nzuri tusikize

Wakati huo wote ulikuwa wamtaka yeye
Hukutaka mwengine
Wakati huo wote wanidanganya wanipenda
Wanibeba ufala
Wakati huo wote kumbe wasaliti wawili
Wafanana wafaana
Wakati huo wote ulikuwa wamtaka yeye
Hukutaka mwengine

Over you
Ni vyema ulienda ingawa ulinitenda
Yes I'm over you
I'm over you
Now I'm over you
Ni vyema ulienda ingawa ulinitenda
Yes I'm over you
I'm over you

Nyuma sitarudi, wivu sina mimi
Ka ulidhani wimbo huu ni wako
Basi hunijui mimi
Eti rafiki kumbe hasidi
Nikakuita baby, kumbe ni fisi

Wakati huo wote ulikuwa wamtaka yeye
Hukutaka mwengine
Wakati huo wote wanidanganya wanipenda
Wanibeba ufala
Wakati huo wote kumbe wasaliti wawili
Wafanana wafaana
Wakati huo wote ulikuwa wamtaka yeye
Hukutaka mwengine

Over you
Ni vyema ulienda ingawa ulinitenda
Yes I'm over you
I'm over you
Now I'm over you
Ni vyema ulienda ingawa ulinitenda
Yes I'm over you
I'm over you

Mapenzi yalinifunga macho masikio
Hakuna aliyenishow
Machozi yalinitoka uchungu ulinipa baby
But it's alright..

Over you
Ni vyema ulienda ingawa ulinitenda
Yes I'm over you
I'm over you
Now I'm over you
Ni vyema ulienda ingawa ulinitenda
Yes I'm over you
I'm over you
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Jerry Ogallo, Catherine Agolla
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Agolla

Tags:
No tags yet