A day in the life of a fool
Day in the life of a fool
Lonely day man but ziko karbu kuisha
Buda nimegrind everyday, everyday
Nimefall to the low but I came back again
Nimekaa studio hadi sahii sina friends
Na nikirudi block man situation ni tense
Ju kila time ni favour na favour
Na ukikosa anageuka hater
So everytime ninamake sure nisimess up
Niko broken, but natembea na chest up
Wanataka stuff hawakuchanga
Nilihold block time Ken alipopatwa
Akifanya small ikuwe big kama Ant-Man
Sahii wananiona star kwa kichwa kama Birdman
Hii ni everyday life ya kuwa rapper
Unacompariwa na Scar na kina Stunna
Kila day naput in work, nitoke under
Till I'm sitting on top of the world, nifeel ka Burna
Wagwan
In the morning, bless up
Hundred grand, flexer
Bado naball, Iniesta
Nikirap, ni fiesta
So buda usitense ukiona si impress nikiwa net
Juu kila kitu ninacalculate, hii ni chess
Mimi siko worries, nikimess mi ndo best
Bado nakill natural state hii ni flex
In the morning, bless up
Hundred grand, flexer
Bado naball, Iniesta
Nikirap, ni fiesta
So buda usitense ukiona si impress nikiwa net
Juu kila kitu ninacalculate, hii ni chess
Mimi siko worries, nikimess mi ndo best
Bado nakill natural state hii ni flex
Nikidedi sahizi ni masa ndo atajali
Nikidedi sahizi ni bro ndo atajali
Ukiwa na shida kila msee hapatikani
Ukiwa na shida buda utapigia nani?
Na Gava inatufinya, si ati economy ni mbaya
Prezo pesa anaingiza na deni iko pabaya
Bottom up ni riba hakuna kitu wamefanya
Policy za ujinga, dooh anapeleka ulaya
Juu hii stuff ni wazi, si kama jigsaw
Utakuaje prezo kwa country huko indoors?
Anaenda kuinvest nje, ni simple
Nikiuliwa niko list ya Mboya na Pinto
Kusema ukweli man, buda nimechoka
Kuona masa akistruggle na haijatosha
Watu kuumia juu pesa zinagongwa
Watu kuumia, na hakuna leader anabonga
Na ka anabonga, anasaka kura
Si ati anajali, ndio maana sa anajituma
Ona chaos na destruction, yenye huvuma
Akisema tufike streets, tukibeba chuma
Wagwan
In the morning, bless up
Hundred grand, flexer
Bado naball, Iniesta
Nikirap, ni fiesta
So buda usitense ukiona si impress nikiwa net
Juu kila kitu ninacalculate, hii ni chess
Mimi siko worries, nikimess mi ndo best
Bado nakill natural state hii ni flex