Back to Top

Amon Charles - Usisahau Lyrics

Amon Charles - Usisahau Lyrics

Jogoo alipowiika
Alfajiri na mapema
Wote walikua kawaida ya jogoo kuwika ifikapo alfajiri
Hali ilikua tofauti
Kwa mwanafunzi mmojawapo wa Yesu
Yeye aliposikia jogoo akiwika akajua neno limetimia
Petro akalia, wengine wakamshangaa
Hakuna aliyejua kuwa jogoo aliwika ili kutimiza neno
Kuna mambo yanatendeka wanadamu hatuelewi
Fahamu zetu zimefungwa kutambua kuwa Kila jambo huja na kusudi
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

English

Jogoo alipowiika
Alfajiri na mapema
Wote walikua kawaida ya jogoo kuwika ifikapo alfajiri
Hali ilikua tofauti
Kwa mwanafunzi mmojawapo wa Yesu
Yeye aliposikia jogoo akiwika akajua neno limetimia
Petro akalia, wengine wakamshangaa
Hakuna aliyejua kuwa jogoo aliwika ili kutimiza neno
Kuna mambo yanatendeka wanadamu hatuelewi
Fahamu zetu zimefungwa kutambua kuwa Kila jambo huja na kusudi
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Amon Mwendi
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Amon Charles

Amon Charles - Usisahau Video
(Show video at the top of the page)

Performed By: Amon Charles
Language: English
Length: 7:33
Written by: Amon Mwendi

Tags:
No tags yet