Back to Top

Merimela Video (MV)

Performed By: Auncle CKoniah
Length: 8:57

Auncle CKoniah - Merimela Lyrics
Official

Merimela kipenzi rafiki wa karibu tangu hapo zamani
Tulipoanza shule nasi tukiwa watoto ulikuwa mpole
Tena mwenye adabu msichana mrembo kila mara mshindi
Sifa nazo urembo ukaenea kwote ukipita ni whispers
Wa darasa la saba kipenzi Merimela ukaanza geuka
Machali mbalimbali ata nao walimu wakakufanya quencher
Na wewe ukakubali ingilia mapenzi ya kiholelaholela
Na we kuwashukia waliokuwa karibu wakukupa ushauri

Nami nikakuonya, chunga sana maisha
Na we kashauriwa, badilisha mienendo
Na we ukapuuza, waenjoy maisha
Tena ukakataa, unavunja mifupa
Nami nikakuonya, chunga sana maisha
Na we kashauriwa, badilisha mienendo
Na we ukapuuza, waenjoy maisha
Tena ukakataa, unavunja mifupa

Ukakosa bahati mrembo Merimela ukakwachua mimba
Ukazunguka kwote ukitaka mawaidha juu ya mimba mpenzi
Nawe ukadanganywa toa kitu kidogo ukafanya abortion
Bila kushauriwa njia gani salama ya kujilinda mrembo

Ukaambiwa uchili, ukasema ni ndoto
Utumie mipira, ukasema si tamu
Basi panga uzazi, ukasema ni hectic
Heri upate wokovu, ukakataa ni mapema
Ukaambiwa uchili, ukasema ni ndoto
Utumie mipira, ukasema si tamu
Basi panga uzazi, ukasema ni hectic
Heri upate wokovu, ukakataa ni mapema

Kwa shule ya upili mwendo ni ule ule mapenzi kiholela
Kila mwaka ni mimba, kila mwaka abortion, ikakuwa mtindo
Hata chuo kikuu raha ikapanda, vunjavunja mifupa
Wadosi na fukara ukaonja Merimela na mimba ni kawaida

Ukakuwa ni dustbin, ya kutupa takataka
ATM mashini, kila kadi yaingia
Ukakuwa daladala, kila mtu akupanda
Ukakuwa ni dustbin, ya kutupa takataka
ATM mashini, kila kadi yaingia
Ukakuwa daladala, kila mtu akupanda

Bado ninakumbuka siku ulionialika kwa harusi Merimela
Ukanielezea umekwisha hitimu na umepata mchumba
Kama rafiki yako kanisisitizia nisikose kufika
Kazi umeshapata na mshahara unapata na itakuwa sherehe
Mimi kama rafiki, nikafika huko mapema
Ilikuwa ni sherehe
Ilikuwa ni maombi
Kila uso ni furaha

Sasa miaka mitano imepita Merimela hujapata mtoto
Kla siku kelele kati yako na bwana, anataka mtoto
Hata na wakwe zako wanapiga kelele, wanataka mtoto
Furaha imekwisha imebaki huzuni, kila siku mawazo
Kwa waganga umeenda, hujapata mtoto
Kwa maombi umeenda, hujapata mtoto
Dakitari akasema, beba mimba huwezi
Dakitari akasema, beba mimba huwezi
Na uchungu ya machungu umepatwa na virusi
Na uchungu ya machungu umepatwa na virusi Mela mama

Usilie usilie Mela mama, usilie Mela mama
Usilie Mela mama, usilie Mela mama
Unanafasi ya kuishi usilie,
Fanya tizi, fanya tizi eh

[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

Tags:
No tags yet