Back to Top

Uinuliwe Yahweh Video (MV)




Performed By: Brotha Bon
Language: Swahili
Length: 4:22
Written by: Bonheur Muhuzi
[Correct Info]



Brotha Bon - Uinuliwe Yahweh Lyrics
Official




Uinuliwe Yahweh ee eeh
Uinuliwe Bwana wa ma Bwana
Uinuliwe Yahweh ee eeh
Uinuliwe Bwana wa ma Bwana
Uinuliwe Yahweh ee eeh
Uinuliwe Bwana wa ma Bwana
Uinuliwe Yahweh ee eeh
Uinuliwe Bwana
Uliumba mbingu na nchi kwa fahari zako Bwana
Uliumba mbingu na nchi kwa fahari zako Bwana aah
Mito
Milima
Mabonde
Wanyama kwa neno lako
Ardhi
Jua
Mwenzi
Na nyota kwa neno lako
Uka mfanya mwanadamu
Kwa mfano wako baba
Uka mfanya mwanadamu
Kwa mikono yako Yahweh
Ili akuinuwe
Ili akuabudu
Ili akusujudu
Ili akuinuwe eee eeh
Uinuliwe Yahweh ee eeh
Uinuliwe Bwana wa ma Bwana
Uinuliwe Yahweh ee eeh
Uinuliwe Bwana
Uinuliwe Yahweh ee eeh
Uinuliwe Bwana wa ma Bwana
Uinuliwe Yahweh ee eeh
Uinuliwe Bwana
Ni amkapo kila siku asubuhi
Si kwa nguvu zangu Adonai
Bali neema yako
Imeniwezesha kuiona siku nyingine eeh
Ndege angani waimba
Na kushangilia jina lako
Mimi ni nani nisipo imba sifa zako Bwana
Makerubi Maserafi waimba
Nakushangilia Yahweh
Mimi ni nani nisipo imba sifa zako Bwana
Yeyeeh
Uinuliwe Yahweh ee eeh
Uinuliwe Bwana wa ma Bwana
Uinuliwe Yahweh ee eeh
Uinuliwe Bwana
Uinuliwe Yahweh ee eeh
Uinuliwe Bwana wa ma Bwana
Uinuliwe Yahweh ee eeh
Uinuliwe Bwana
Uinuliwe Yahweh ee eeh
Uinuliwe Bwana
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


Swahili

Uinuliwe Yahweh ee eeh
Uinuliwe Bwana wa ma Bwana
Uinuliwe Yahweh ee eeh
Uinuliwe Bwana wa ma Bwana
Uinuliwe Yahweh ee eeh
Uinuliwe Bwana wa ma Bwana
Uinuliwe Yahweh ee eeh
Uinuliwe Bwana
Uliumba mbingu na nchi kwa fahari zako Bwana
Uliumba mbingu na nchi kwa fahari zako Bwana aah
Mito
Milima
Mabonde
Wanyama kwa neno lako
Ardhi
Jua
Mwenzi
Na nyota kwa neno lako
Uka mfanya mwanadamu
Kwa mfano wako baba
Uka mfanya mwanadamu
Kwa mikono yako Yahweh
Ili akuinuwe
Ili akuabudu
Ili akusujudu
Ili akuinuwe eee eeh
Uinuliwe Yahweh ee eeh
Uinuliwe Bwana wa ma Bwana
Uinuliwe Yahweh ee eeh
Uinuliwe Bwana
Uinuliwe Yahweh ee eeh
Uinuliwe Bwana wa ma Bwana
Uinuliwe Yahweh ee eeh
Uinuliwe Bwana
Ni amkapo kila siku asubuhi
Si kwa nguvu zangu Adonai
Bali neema yako
Imeniwezesha kuiona siku nyingine eeh
Ndege angani waimba
Na kushangilia jina lako
Mimi ni nani nisipo imba sifa zako Bwana
Makerubi Maserafi waimba
Nakushangilia Yahweh
Mimi ni nani nisipo imba sifa zako Bwana
Yeyeeh
Uinuliwe Yahweh ee eeh
Uinuliwe Bwana wa ma Bwana
Uinuliwe Yahweh ee eeh
Uinuliwe Bwana
Uinuliwe Yahweh ee eeh
Uinuliwe Bwana wa ma Bwana
Uinuliwe Yahweh ee eeh
Uinuliwe Bwana
Uinuliwe Yahweh ee eeh
Uinuliwe Bwana
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Bonheur Muhuzi
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Brotha Bon

Tags:
No tags yet