Back to Top

Uhai Video (MV)




Performed By: Ciano Maimba
Featuring: M3
Length: 4:49
Written by: CIANO MAIMBA, MBOGUA MBUGUA MBUGUA
[Correct Info]



Ciano Maimba - Uhai Lyrics




[ Featuring M3 ]

Mpenzi mi' sifai,
Uzuri wako mi' sifai,
Kwa yote ulionipa mi' shukrani,
Mmmm.
Wanipa uhai,
Ninapaa juu kama tai,
Mahaba yako yaniinua,
Juu kwa juu.
Juu kwa juu kwa juu kwa juu,
Mahaba yako yaniinua juu kwa
Juu.
Juu kwa juu kwa juu kwa juu,
Mahaba yako yaniinua juu kwa
Juu.

Mawinguni,
Pana utulivu,
'Mepata kwangu nyumbani humu.
Mawinguni,
Pana utulivu,
'Mepata kwangu nyumbani humu.

Uhai, uhai,
Wanipa, wanipa uhai.
Uhai, uhai,
Wanipa, wanipa uhai.

You, are, love, peace and light,
Everything that I need personified,
And I feel, so alive, turned my dreams to reality,
You, are, love, peace and light,
Everything that I need personified,
And I feel, so alive, turned my dreams to reality,

Mawinguni,
Pana utulivu,
'Mepata kwangu nyumbani humu.
Mawinguni,
Pana utulivu,
'Mepata kwangu nyumbani humu.



Uhai, uhai,
Wanipa, wanipa uhai.
Uhai, uhai,
Wanipa, wanipa uhai.
Uhai, uhai,
Wanipa, wanipa uhai.
Uhai, uhai,
Wanipa, wanipa uhai.
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.




Mpenzi mi' sifai,
Uzuri wako mi' sifai,
Kwa yote ulionipa mi' shukrani,
Mmmm.
Wanipa uhai,
Ninapaa juu kama tai,
Mahaba yako yaniinua,
Juu kwa juu.
Juu kwa juu kwa juu kwa juu,
Mahaba yako yaniinua juu kwa
Juu.
Juu kwa juu kwa juu kwa juu,
Mahaba yako yaniinua juu kwa
Juu.

Mawinguni,
Pana utulivu,
'Mepata kwangu nyumbani humu.
Mawinguni,
Pana utulivu,
'Mepata kwangu nyumbani humu.

Uhai, uhai,
Wanipa, wanipa uhai.
Uhai, uhai,
Wanipa, wanipa uhai.

You, are, love, peace and light,
Everything that I need personified,
And I feel, so alive, turned my dreams to reality,
You, are, love, peace and light,
Everything that I need personified,
And I feel, so alive, turned my dreams to reality,

Mawinguni,
Pana utulivu,
'Mepata kwangu nyumbani humu.
Mawinguni,
Pana utulivu,
'Mepata kwangu nyumbani humu.



Uhai, uhai,
Wanipa, wanipa uhai.
Uhai, uhai,
Wanipa, wanipa uhai.
Uhai, uhai,
Wanipa, wanipa uhai.
Uhai, uhai,
Wanipa, wanipa uhai.
[ Correct these Lyrics ]
Writer: CIANO MAIMBA, MBOGUA MBUGUA MBUGUA
Copyright: Lyrics © Downtown Music Publishing

Back to: Ciano Maimba

Tags:
No tags yet