Pole Pole Mama, Jua linazama
Siwezi mwenzio, kunipanga foleni
Kisirani cha moyo hakito hakito himili maumivu
Sifanani na kolo, mimi ni muelevu Ooh! Ohh!
Upofu wa matendo yako, heri ya Ruti ya Mchanga
Mwanamke usiye na hadhi zako, kutwa sasambu na Kanga
Unani-eleleza kwani tupo wangapi?
Foleni uliyoniweka, nimeshuka sitaki
Unani-eleleza kwani tupo wangapi?
Foleni uliyoniweka Mama Eyaaah!
Pole Pole mama, jua linazama
Siwez mwenzio kunipanga foleni
Utapendwa na wengi ndio, ila wachache wenye Upendo, Oooh!
Usijali changu kilio, kesho naandaa leso yako
Heri ya ngoja ngoja ningoje mwendokasi miyeee!
Yupo atakaenipenda na kunifanya nideke Eyaaah!
Unani-eleleza kwani tupo wangapi?
Foleni uliyoniweka, nimeshuka sitaki
Unani-eleleza kwani tupo wangapi?
Foleni uliyoniweka Mama Eyaaah!
Pole Pole mama, jua linazama
Siwez mwenzio kunipanga foleni
Asante