Unapokuwa uko mbali, muda mwengine naumia
Kweli ngumu hali, ninaivumilia
Unapokuwa uko mbali, muda mwengine naumiaaah
Kweli ngumu hali, ninaivumilia aaaah
Sina kikubwa cha kukupa mama ilaaaah
Nakuombea baby, kwa Maulana
Sina kikubwa cha kukupa mama, ilaaaah
Nakuombea baby, kwa Maulana
Kumbe ulikuwa unanidanganya
Nikitoka nyuma unanitukana
Eti kisa nakupenda sana
Ukaamua unifanyie hivyo
Natamani kwenda kusema kwa mama
Ila mi naogopa sana
Nitapata dhambiiiii, kwa Mwenyeziiii
Namaradhi aaaah, oooh maleriaaah
Namaradhi aaaah, ya mapeenzi
Namaradhi aaaaaah, oooh maleriaaah
Namaradhi aaaaaah, ya mapeenzi
Natamani ungelikuwa karibu yangu
Uguse moyo unavyodunda moyo wangu
Oooh Yarab, inusuru nafsi yangu
Isirudi nyuma, nipambane na hali yangu weeeh
Nimetuma letter, minadhani umeisoma
Maumivu ya moyo, ndani umeyaona
Najitahidi kuyaepuka
Ila bado yananichomaaah
Kungekuwa na vidonge
Uwenda ningeponaaah
Kumbe ulikuwa unanidanganya
Nikitoka nyuma unanitukana
Eti kisa nakupenda sana
Ukaamua unifanyie hivyo
Natamani kwenda kusema kwa mama
Ila mimi naogopa sana
Nitapata dhambiiiii, kwa Mwenyeziiii
Namaradhi aaaah, oooh maleriaaah
Namaradhi aaaah, ya mapeenzi
Namaradhi aaaaaah, oooh maleriaaah
Namaradhi aaaaaah, ya mapeenzi,