Back to Top

Diamond Platnumz - Baila Lyrics

Diamond Platnumz - Baila Lyrics
Official

Kama unanipenda sana Umarufu weka mbali
Na ile nyumba ni ya mama Hivyo usiwaze madale
Isiwe kesho madrama Pigiwa simu na tale
Eti insta natukanwa Umeshanzisha kware
Yani moyo wangu Mwepesi kupenda na mgumu kusahau
Moyo wangu Nateseka sana nayempenda kinidharau
Moyo wanguuuu Hodari kugawa wakunipa sina
Moyo wanguu Ndo maana nasisitiza usije na weee

Baila baila baila
Baila baila baila
Baila baila baila
Bailaaa mamaaa
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila baila baila
Bailaaa mamaaa

Mmh Ah muziki vitaaa, hawataki niendelee
Hivyo ukipata nafasi, tafadhali niombeee
Na nyumbani visa, ndugu zangu wazoeee
Itaniumiza nafsi, ikifika musiongee
Na mashemeji kwa ofisi mnapocheka nao Tahadhari sana
Siunajua wanamuziki vitabia vyao Wamejawa tamaa
Na dada zangu, mawifi chunga nyendo zao Usipelekwe mrama
Wakikumbia kaniki mara chota nyayo Jua mumeo na kwama

Utamu wa bigijii, nikutafuna Usimeze rodaaa, ongeza tu bidii
Kunikuna, sio kuniroga Kunikomba zaidii, pika nguna
Ntaleta mbogaa, kunipenda ka hivii Kwetu suna, shushie na soda
Yani moyo wangu, mwepesi kupenda mgumu kusahau
Moyo wangu Nateseka sana nampenda akinidharau
Moyo wanguuuu Hodari kugawa wakunipa sina
Moyo wanguu Ndo maana nasisitiza usije na wee

Baila baila baila (Bailandoooo)
Baila baila baila(Baila kipenzii)
Baila baila baila(Eeeh Bailandoooo)
Baila Mama

Baila baila baila (Baila kituuu)
Bailaa baila bailaa (Baila me hoi)
Baila baila baila(Eeeh)
Bailandooo

Usiseme love me then u lying
Usiseme love me then u lying aah
Usiseme love me then u lying Mmmh
Usiseme love then u lying aahh

Baila baila baila
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila mamaaa
Baila baila baila(Oooh baila,
Baila baila baila(Baila kipenzi)
Baila baila baila
Baila mamaa
[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

Writer: MIRI BEN-ARI, NASIBU ABDUL JUMA ISSAACK
Copyright: Lyrics © Universal Music Publishing Group

Diamond Platnumz - Baila Video
(Show video at the top of the page)

Tags:
No tags yet