Back to Top

Fid Q - Roho Lyrics

Fid Q - Roho Lyrics
Official

[ Featuring Christian Bella ]

Nilipommiss hakutokea, ili kunigea kiss au kuni-hug
Hakuni-care huyu binti, aliendelea kunimwaga
Sijawahi penda kama hivi lakini mapenzi yakaniditch
Nilisurvive vipi sikumuita 1st love bitch
Ninahisi.. nilipata vibe ya kuipa truth a facelift
' Haupati love bila michuzi hauna cash Fid
Nikakesha ndani ya booth, huyu na yule ikawa 1st hit
Show kila mkoa haikosi groupie kwa guest list
Life ikawa poa.. lakini u-playa siuwezi Fid
Sikufichi inaboa ile mbaya kuvaa jezi nyingi
Plus hawara anapasha kitanda moto
Na haifanyi upweke ukaniacha kiasi cha kumganda huyu mtoto
Na kuimba mahaba niue.. with a smile on my face
Haijalishi kama ana uzuri wa kumturn hadi Gay straight
Mapenzi ni kama ' ligi ya mbuzi ' Striker anaweza potea
Wengi wanawa-cheat na kuwaudhi wachache wanao-Play fair

Mapenzi ni matamu lakini ninahofia kuumizwa moyo
Nashindwa kujaribu.. roho inaniuma
Roho inaniuma
Roho inaniuma
Roho inaniuma
Roho inaniuma
Roho inaniuma

Ninahofia kuumizwa moyo, bila hata kupewa pole
Dudu liumalo, kwanini nilipe kidole
Ooh moyo roho inaniuma mie

Dear hustle ni wazi penzi lako ni safi na huniacha happy kila wakati kubaki nawe ni kisamati baby
Kipi sipati? ninahiti kwa chati, waliotashtiti mziki haunilipi,wako wapi? waniache, mkate nipate baby
Money makes a man, lakini love ni hustle
You know who you love but you don't know who love's you
Wakuniletea Baraka kama Michelle
Na Tabasamu zaidi ya wafungua mlango wa 5 star hotel
Dawa sio chungu ndugu.. chungu maradhi
Haki ya mungu tena, chuki humchoma anayeihifadhi
Kumsahau siwezi ni sawa na kumkumbuka nisiyemjua
Mapenzi yalifanya nikaumbuka ninachoshukuru hayakuniua

Nashindwa kujaribu, roho inaniuma
Roho inaniuma
Roho inaniuma
Roho inaniuma
Roho inaniuma
Roho inaniuma
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

Swahili

Back to: Fid Q

Fid Q - Roho Video
(Show video at the top of the page)

Performed By: Fid Q
Featuring: Christian Bella
Language: Swahili
Length: 3:24
[Correct Info]
Tags:
No tags yet