Back to Top

Jesiwe Joshua - Nitaenda Lyrics

Jesiwe Joshua - Nitaenda Lyrics

Sauti ya Mungu ilimjia yona kumwambia aende ninawi akawaambie watu habari za Mungu wamrudie baba
Sauti ya Mungu ilimjia yona kumwambia aende ninawi akawaambie watu habari za Mungu waache maovu
Sababu ya ugumu wa kazi ya Mungu akaona atorokee talshishi sababu ya mzigo wa kazi ya Mungu akaona atorokee Talshishi
Napo haikuwezekana huwezi kukimbia uso wa Mungu ila haikuwezekana hawezi mkimbia Mungu baba
Ndipo upepo mkuu baharini ukaanza kusongasonga meri kebu waoyopanda ikaanza kuyumbayumba
Mabaharia na ujanja wao wakashindwa kuiongoza wakaomba kila mtu kwa dini na Mungu wake
Wakamkuta Yona hana habari amelala zake wakamwendea kumwambia ebu omba kwa Mungu wako
Huenda atatukumbuka na bahari itatulia zikapigwa kura zikamuangukia akatoswa baharini
Na samaki mkubwa akammeza sababu kukataa sauti ya Mungu Wito wa Mungu Sauti ya Mungu
Ikikuita we itika hata kama ugumu unauona bwana wangu
Ukinituma mimi

Nitaenda mimi nitaenda "mimi"
Ukiniamuru niende nitaenda "wala sitapinga"
Nitafanya kazi yako baba bila ulegevu kwa moyo nitafanya
Nitaenda mimi nitaenda "mimi"
Ukiniamuru niende nitaenda "nitaenda"
Nitafanya kazi yako baba bila ulegevu kwa moyo nitafanya "Mungu Nisaidie"
Nitaenda mimi nitaenda "uniongoze"
Ukiniamuru niende nitaenda "uniwezeshe"

Umeitwa utumike umepinga Mungu anakuona
Na ujue sio bure lipo kusudi Mungu ameona
Amekupa sauti uimbe umegoma umetulia
Mungu anataka akutume we mjumbe watu wanaangamia
Kupitia wewe watapona kupitia wewe
Kupitia wewe wataokoka kupitia wewe
Na usijisahau wewe ni chombo chake
Amekuweka hai ili utumike kwake
Wapo wengi upo nao ila amekuita wewe
Ipo sababu na kusudi mbele zake yeye
Usiangalie mazingira magumu Mungu atayarahisisha
Usijione ni mdogo Mungu amekuona kwake unafaa
Wito wa Mungu Sauti ya Mungu
Inapoita we itika kwa moyo wako sema

Nitaenda mimi nitaenda "nitaenda"
Ukiniamuru niende nitaenda "ukiniamuru niende"

Wala sitasita
Nitaenda mimi nitaenda "kuifanya kazi yako"
Ukiniamuru niende nitaenda "niko tayari hee"

Nitaenda mimi nitaenda
Ukiniamuru niende nitaenda

[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

Swahili

Writer: Jesiwe Kilagane
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Jesiwe Joshua

Jesiwe Joshua - Nitaenda Video
(Show video at the top of the page)

Performed By: Jesiwe Joshua
Language: Swahili
Length: 5:04
Written by: Jesiwe Kilagane
[Correct Info]
Tags:
No tags yet