Back to Top

Luuvany - Siri (feat. Minado) Lyrics



Luuvany - Siri (feat. Minado) Lyrics




If i say i love you boo
Kile kibu ntajaza kapesa nikupatie
Siri ya Maokoto hupunguza joto kile kimini kitupe kadera ujitupie

Twabibu wangu mumewangu
Chaguo langu uloniweza kimwili
Chiba wangu mahi wangu
Diha wangu Mwili wangu laini

Kuna kasir ka wawil
Ukweli unanichanganya akili
Kiuno laini unatiririka mpak chini

Aaaah mi na wewee tu mi na wewee tuu

Burudani nacheza kama msomali
Mi vitani dada na cheza zumara
Abadani nashikaga usukukani
Usukaaaani

Mi nnahamu mwezako ya kukuchombeza
Siishi hamu hada ukifanya makengezaaa

Kuna kasir ka wawil
Ukweli unanichanganya akili
Kiuno laini unatiririka mpak chini
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


Swahili

If i say i love you boo
Kile kibu ntajaza kapesa nikupatie
Siri ya Maokoto hupunguza joto kile kimini kitupe kadera ujitupie

Twabibu wangu mumewangu
Chaguo langu uloniweza kimwili
Chiba wangu mahi wangu
Diha wangu Mwili wangu laini

Kuna kasir ka wawil
Ukweli unanichanganya akili
Kiuno laini unatiririka mpak chini

Aaaah mi na wewee tu mi na wewee tuu

Burudani nacheza kama msomali
Mi vitani dada na cheza zumara
Abadani nashikaga usukukani
Usukaaaani

Mi nnahamu mwezako ya kukuchombeza
Siishi hamu hada ukifanya makengezaaa

Kuna kasir ka wawil
Ukweli unanichanganya akili
Kiuno laini unatiririka mpak chini
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Viongizi Africa
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Luuvany



Luuvany - Siri (feat. Minado) Video
(Show video at the top of the page)


Performed By: Luuvany
Language: Swahili
Length: 3:43
Written by: Viongizi Africa
[Correct Info]
Tags:
No tags yet