Back to Top

Navy Kenzo - Lini Lyrics

Navy Kenzo - Lini Lyrics
Official

Nakuthamini kama dola (dola)
Wala usije nichora (chora)
Ukaniletea ukora
(Kora kora kora kora kora)
Chochote unachotaka we agiza
Kwenye mabaya hua ni gey
You're my baby can't deny
Baby! Mmmh

Eee eee eee!!
You got my spirit to rise and pop (murder)
Eee eee eee!!
She like rot and I like like her like popey (murder)

Itakua ni lini au sangapi (lini sangapi)
Na atakua ni mzawa wa wapii
(What is love what is love what is love)
When you wanna fall in love with somebody (Eee eee eee)
When you wanna get along with somebody(Yooup!)
Youh!!!

Atokee kwa bibi amfunde vikali
Akipose maujanja baby (yeap! yeap! yeap! yeap!)
Mimi nitamkubali eee
Amfunde maujanja
(Ujanja ujanja ujanja, ujanja ujanja)
Asiende kwa mganga
(Mganga mganga mganga, mganga mganga)
Nimejawa na malover lover
Hakuna expire
Nitalinda na kulea lea kama mtoto wa jana
Nimejawa na malover lover
Hakuna expire
Nitalinda na kulea lea lea lea lea lea leee

Na atakua ni mzawa wa wapi

When you wanna get along with somebody(Eyaa!)
Eee yeah yeah

Kuna siri kubwa juu yako na mimi
Kukupata paka kuwa wangu my queen
Niki kuudhi mamii tulia na mimi
Ya ndani tuyamalize chini chini
Siwajua mwanzo wako we na mimi
Kukupata paka kunijibu ndio
Niki kuudhi mamii tulia na mimi
Ya ndani tuyamalize chini chini
Nikitaka ile kitu baby wangu come now now
Gimme some more baby now now now
Look at my eyes baby now now now
Sexy in the morning baby now now now
Whine for me baby now now now
Bring it turn over
Don't blame me baby don't leak it baby don't freak it baby

Itakua ni lini au sangapi (lini sangapiii)

When you wanna get along with somebody
Eee eee eee!!

Nakuthamini kama dola (dola)
Wala usije nichora (chora)
Ukaniletea ukora
(Kora kora kora kora kora)
Nakuthamini kama dola (dola)
Wala usije nichora (chora)
Ukaniletea ukora
(Kora kora kora kora kora)
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

Swahili

Back to: Navy Kenzo

Navy Kenzo - Lini Video
(Show video at the top of the page)

Performed By: Navy Kenzo
Language: Swahili
Length: 3:53
[Correct Info]
Tags:
No tags yet