Bomboclat Lyrics by Jose Chameleone


Queen of Katwe Soundtrack Lyrics

Jose Chameleone - Bomboclat Lyrics
[feat. Weasel]

Simbilimbili mamba ma eee

I got to go badilisha i let u go


I got to go badilisha

Unaniumiza sana ninateseka
Ndani moyoni mimi naumwa
I got to go kan'gendee
I let you go sitaweezaaa
Nimevumilia sana hutaki change
Naona umeshindwa kubadilisha
I got to go kankupewee
I let you go mukwano nunyaaa ×2

Pete yaharusi ninayo kidoleni
Nilikupenda mababy sorry
Utampata mwingine dont worry ha haaaaa
Watoto tumezaa tunao tiyari
Tulipanga mi na we milelee
Lakini nini nini nini nini nini unanichangaya
Maisha wote wawili tulipanga
Shida ni nyingi hatujakosana
Haingekuwa hivyo unapenda hupendi
Mupenzi tuachane na ivyo ilivyoo

Repeat hivi bahaati unaempenda sana popote alipo
Aitwe tapeliii atakula zamtu anakula zake zipo
Nipe changu nami nikupe chakoo
Kama hunipendi hilo ni lakoo
We got alot issue to settle
Pamoja twende msetoo
Love me baby i will love you back
Scratch my back i will scratch your back
Tatizo unapendwa hupendi na hivyo ilivyoo

Repeat tuliamua tuwe together
Mimi na wewe tuwe forever
Aaahadi yetuu
Mimi na wewe na watoto wetuu
Tupambane shida zote za nyumbani tuzimalize
Now gal every woman for a man
Love me i love you back n not watagwan
Gal its another tunda missing
Abanga tunda dis one galang
I never worry about it
Every time you come you beg sweet it
Dis time pon de man
Chameleone n music good

Repeat end.



Soundtracks / Top Hits / One Hit Wonders / TV Themes / Song Quotes / Miscellaneous