Back to Top

Tboy manyota - Mama Lyrics

Tboy manyota - Mama Lyrics

Song title: mama

Mmmmh mamaa mamaaa
Nikama ndotoo
Naotaa nmelala naotaa
Why umeondokaa
Napitia misotoo
Naotaa au Sina nyota
Mama umeondokaa

Mama najua unajua
Kwa mvua na jua
Upendo wangu kwako
Ndo unaonisumbua mama
Iwe kwa Dua kuagua mafumbo fumbua ila mama ungekuepo ningekutunza mama

Na ninapiga magoti kumuomba mungu akulinde mama
Kama Kuna makosa basi ayafute na akusamehe
Nanitafanya maombi bila kuchoka Yani usiku mchana
Japo maramoja mama urudi nije niwenawewe

Chorus
Mbali nawee
Mi nashindwa vumilia
Mbali nawee
Kutwa ninakulilia
Mbali nawee

Namama picha Yako
Nikiitazama mi napatwa na uchungu
Natamani ungekuepo nkueleze japo kwa uchache yaliyonisibu

Mi mwanao nilisoma
Ila kazi niliyoitaka sikupata nimejiajili ila hainipi homa
Bado napambana changamoto kuzikabili
Kaburi lako nikiliona nayakumbuka maneno mengi uliyonisihi nisikufuru hata nikipata nikikosa kwa yote nishukuru

Ulaleeeee

Saalaama
Ulale salama ah
Saalaama
Tutaonanaaaa
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

English

Writer: Thomas Thomas
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Tboy manyota

Tboy manyota - Mama Video
(Show video at the top of the page)

Performed By: Tboy manyota
Language: English
Length: 4:20
Written by: Thomas Thomas
[Correct Info]
Tags:
No tags yet