Back to Top

Tunda Man - Nimeshindwa Lyrics

Tunda Man - Nimeshindwa Lyrics

My life without am not swear
Nishajalibu kuimba nyimbo zote
Ndio nangoja miujiza initoke oyaya

Katika vitu vyakucheza navyo usicheze na hisia
Zitakupeleka kubaya ndugu yangu nakwambia

Katika vitu vyakucheza navyo usicheze na hisia za mtu
Wengi wameenda jera kisa mapenzi wameuwa mtu
Kwenye mapenzi bwana usikosee njia
Utakujajutia wengi wameshalia
Ona wakwangu ameshanikimbia
Kutwa namlilia kwa uchungu
Baby wako unampa asilimia mia
Watuwatamfukuzia wanakuchukulia
Aha nyatunyatu baby wanamnyatia
Vidola mia mia vya kwashungu
Nimeshindwa

Nimejaribu kukuweka mbalii (nimeshindwa)
Mdomo umetamka sikutaki ila moyoni(nimeshindwa)
Eti nisikuote nisikufikilie mwenzako (nimeshindwa)
Kuwa mbali na wewe kwenda mbali na wewe niendako (nimeshindwa)
Nimeshindwa,nimeshindwa,nimeshindwa.

If i can open the door
Gonna you seal before
Labda sing ug sing full
Sasa najitesa tu roho
Mwili maumivu komando
Twende polepole
Jaribu kuongea na watu
Umepata msaada sana pole
Sometimes nastuck siwezi hata kufanya chochote (papap)
You shut my heart am dead man ok
Naangalia wapi
Vipande vya moyo wangu hata niokote
Naweza nkajiungaunga nitafute njia nitoke (nimeshindwa)
Moyo wangu nilioinvest
Najua kuwa nawe at all is my best not some
Ntafanya kila kitu nikupendeze we
Usipauke we ung'ae na pesa za madafu
Nimeshindwa.

Eti nisikuote nisikufikilie mwenzako (nimeshindwa)
Kuwa mbali na wewe
Kwenda mbali na wewe
Niendako (nimeshindwa)
Nimeshindwa
Nimeshindwa
Nimeshindwa
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

Writer: KHALIDI TUNDA
Copyright: Lyrics © Songtrust Ave

Back to: Tunda Man

Tunda Man - Nimeshindwa Video
(Show video at the top of the page)

Performed By: Tunda Man
Length: 3:16
Written by: KHALIDI TUNDA
[Correct Info]
Tags:
No tags yet