Back to Top

Mita (feat. MR. LU* & Maasai) Video (MV)

Performed By: Xprso.
Language: English
Length: 2:29
Written by: George Aloo, Luther Kilolo
[Correct Info]

Xprso. - Mita (feat. MR. LU* & Maasai) Lyrics
Official

Staki kuskia story za Geng Geng
Na ka haina ganji hatuwezi hang hang
By now nafaa kuwa na Lamborghini
Wanna take the Mrs from South B, to Santorini
Mafia XPRSO mafia
Salmon over lobster, hata hatukuli tilapia
Nilienda lowkey, nikarudi slightly cockier
Since nipate sauce, akili imekuwa sloppier
Yeah
Mafia music, kali sana
Hii ni ya mitaa zote
Shout out Pangani massive, Ngara massive
Shout out Lukorito for the inspo
Nilianza kuchoma shash, nikaacha kuchoma picha
Kukimbiza maretweets na likes huko twitter
Kuingia maDM nikiombana mafeature
Nilighostiwa, nami nikaghostika
Saa hii sidai form kaa si story ya mamita
Sidai hio bash kama hakuna mamasitas
Wika, wika
Xprso wako area watu wanababaika
Yeah
Xprso wako wangapi, wako watano ama wasita
Wacha tupige hesabu usiwahi hangaika
Baby, Kev, Lukorito, MR. LU*, RVMP, Mars, Tg
Au vipi, ata labda ni wasaba
Tunawafikisha cloud saba
Hadi usiku wa manane
Tuonane kesho saa tisa
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

English

Staki kuskia story za Geng Geng
Na ka haina ganji hatuwezi hang hang
By now nafaa kuwa na Lamborghini
Wanna take the Mrs from South B, to Santorini
Mafia XPRSO mafia
Salmon over lobster, hata hatukuli tilapia
Nilienda lowkey, nikarudi slightly cockier
Since nipate sauce, akili imekuwa sloppier
Yeah
Mafia music, kali sana
Hii ni ya mitaa zote
Shout out Pangani massive, Ngara massive
Shout out Lukorito for the inspo
Nilianza kuchoma shash, nikaacha kuchoma picha
Kukimbiza maretweets na likes huko twitter
Kuingia maDM nikiombana mafeature
Nilighostiwa, nami nikaghostika
Saa hii sidai form kaa si story ya mamita
Sidai hio bash kama hakuna mamasitas
Wika, wika
Xprso wako area watu wanababaika
Yeah
Xprso wako wangapi, wako watano ama wasita
Wacha tupige hesabu usiwahi hangaika
Baby, Kev, Lukorito, MR. LU*, RVMP, Mars, Tg
Au vipi, ata labda ni wasaba
Tunawafikisha cloud saba
Hadi usiku wa manane
Tuonane kesho saa tisa
[ Correct these Lyrics ]
Writer: George Aloo, Luther Kilolo
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Xprso.

Tags:
No tags yet