Back to Top

Thinking (feat. Palmtrees) Video (MV)

Performed By: Xprso.
Language: English
Length: 2:09
Written by: George Aloo
[Correct Info]

Xprso. - Thinking (feat. Palmtrees) Lyrics
Official

Tell, tell the government nimesema, yeah
Tell the government I said
Tell the government I said
Next time, sijipeleki kupiga kura ka ni zile jina tushazoea kuona
Next time, form yenyu tushaisoma mnaingia serikali muendelee kupora
This time, mzazi sitamskiza akinichocha na mambo ya ukabila, bila (ahh)
Juu tunabaki bila tukichagua mtu wetu na bado anaenda kuiba
Heiya, serikali mumeshinda
Mumezoa kutuingiza
Mnatupima, tunapimika
Nchi imegonjeka, na dawa zimakwisha
Na kwa wazee you don't always know best
Juu ni wazee wametuingiza hii mess
Maendeleo hatuoni we are drowning in debt
Mulipoteza vision, ni time ya mayouth wote kustart
Thinking
Hio mali yote serikali inasanya ni sisi tutalipa anyway please start
Thinking
Before ufuate mwanasiasa jiulize alitoa wapi ganji bana start
Thinking
Juu ya venye tutaanza revolution
Thinking
Itabidi tutafute ma-solution
Thinking
Hii ni nchi ya ma-youth so please start
Thinking
We are already sinking
Thinking
Wanakuja kutubeba ufala ju wanaona si wanyonge bana siste start
Thinking
Ajira huku ngumu kupata tunalalamika tuki-suffer brathe start
Thinking
Vile tuta-secure our future
Thinking
Tuzuie hawa wazae kuturusha
Thinking
Hii ni nchi ya ma-youth we need to start
Thinking
Tubadilishe hii system
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

English

Tell, tell the government nimesema, yeah
Tell the government I said
Tell the government I said
Next time, sijipeleki kupiga kura ka ni zile jina tushazoea kuona
Next time, form yenyu tushaisoma mnaingia serikali muendelee kupora
This time, mzazi sitamskiza akinichocha na mambo ya ukabila, bila (ahh)
Juu tunabaki bila tukichagua mtu wetu na bado anaenda kuiba
Heiya, serikali mumeshinda
Mumezoa kutuingiza
Mnatupima, tunapimika
Nchi imegonjeka, na dawa zimakwisha
Na kwa wazee you don't always know best
Juu ni wazee wametuingiza hii mess
Maendeleo hatuoni we are drowning in debt
Mulipoteza vision, ni time ya mayouth wote kustart
Thinking
Hio mali yote serikali inasanya ni sisi tutalipa anyway please start
Thinking
Before ufuate mwanasiasa jiulize alitoa wapi ganji bana start
Thinking
Juu ya venye tutaanza revolution
Thinking
Itabidi tutafute ma-solution
Thinking
Hii ni nchi ya ma-youth so please start
Thinking
We are already sinking
Thinking
Wanakuja kutubeba ufala ju wanaona si wanyonge bana siste start
Thinking
Ajira huku ngumu kupata tunalalamika tuki-suffer brathe start
Thinking
Vile tuta-secure our future
Thinking
Tuzuie hawa wazae kuturusha
Thinking
Hii ni nchi ya ma-youth we need to start
Thinking
Tubadilishe hii system
[ Correct these Lyrics ]
Writer: George Aloo
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Xprso.

Tags:
No tags yet